#DW: Waasi wayalenga makazi ya kifalme Riyadh
[ad_1]
Hii ni mara ya pili katika kipindi cha miezi mingi ambapo kombora la waasi linafika mbali ndani ya makazi ya kifalme mjini Riyadh. Waasi wa Yemen wamesema kwamba wamerusha kombora hilo wakiyalenga makazi hayo ya kifalme ya Yamama mjini Riyadh, ambako Mfalme Salman hufanya mikutano ya kila wiki ya serikali na kupokea viongozi wakuu wa nchi mbalimbali.
Taarifa ya muungano wa jeshi…
View On WordPress













