#VOA. | Qatar yaondoa maelfu ya wafanyakazi wa kigeni katika nyumba katikati ya Doha
#VOA. | Qatar yaondoa maelfu ya wafanyakazi wa kigeni katika nyumba katikati ya Doha
Walisema kwamba zaidi ya majengo kumi na mbili watu wameondolewa na nyumba hizo kufungwa na mamlaka, na kuwalazimisha wafanyakazi hasa Waasia na Waafrika kutafuta makazi wanayoweza kupata ikiwa ni pamoja na kulala barabarani nje ya nyumba zao za zamani. Hatua hiyo imekuja chini ya wiki nne kabla ya kuanza kwa michuano hiyo ya soka ya kimataifa hapo Novemba 20 ambayo imeibua uchunguzi wa kina wa…
View On WordPress








