#TRT: Irak kuingilia kijeshi ikiwa kura ya maoni ya kikurdi italeta vurugu Kupitia shirika la habari la « Associated Press » ,waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi , amesema kuwa yupo tayari kutumia nguvu za kijeshi, ikiwa kura ya maoni ya kujitenga kwa jimbo la kikurdi kaskazini mwa Iraq itasababisha vurugu.










