Shamba
Shamba - gård
Leo nitatumia neno shamba. Nitalifanyia mazoezi neno hili.
Sina shamba. Sijaishi kwenye shamba. Hakuna mashamba mengi jiji langu. Ni mji mkubwa. Ninafanya mchezo wa karata kuhusu wanyama wa shamba na wanyama wa kipenzi.
Shamba la wanyama ni kitabu maarufu.
Nadhani nataka kufanya mchezo wa karata kuhusu wanyama pori Kenya na Tanzania. Kufundisha Kiswahili. Mchezo mwingine unafundisha Kinorwe.















