made some bread for lammas this thursaday!
it turned out super good
i can share my recipe if anyone is interested
seen from South Korea
seen from United States
seen from United States

seen from United Kingdom

seen from Australia

seen from United States

seen from Vietnam
seen from United States

seen from United States

seen from Vietnam
seen from United States
seen from China
seen from United States
seen from Sweden
seen from United States
seen from Japan
seen from China
seen from United States

seen from Canada

seen from Netherlands
made some bread for lammas this thursaday!
it turned out super good
i can share my recipe if anyone is interested
Saa zingine unafaa kunyamaza na kusubiri
Hey, stop a sec and look at this beautiful Lammas altar.
Thanks!
Hebu mtag barakala unaemfahamu hapo kwenye comment. 😂 #swahiliinspiration #kiswahili #bakita #Tanzania #lugha #dailymodealer https://www.instagram.com/p/CkXvELZu3M9/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Shamba
Shamba - gård
Leo nitatumia neno shamba. Nitalifanyia mazoezi neno hili.
Sina shamba. Sijaishi kwenye shamba. Hakuna mashamba mengi jiji langu. Ni mji mkubwa. Ninafanya mchezo wa karata kuhusu wanyama wa shamba na wanyama wa kipenzi.
Shamba la wanyama ni kitabu maarufu.
Nadhani nataka kufanya mchezo wa karata kuhusu wanyama pori Kenya na Tanzania. Kufundisha Kiswahili. Mchezo mwingine unafundisha Kinorwe.
TBC YATUZWA KWA MATUMIZI KISWAHILI FASAHA
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kupitia kituo chake cha Televisheni cha TBC1 na cha Redio ya TBC Taifa, imepata Tuzo kutokana na matumizi fasaha ya lugha ya Kiswahili na ulindaji wa madili ya Mtanzania TBC pia imepewa hati ya shukrani kwa kutambua na kuthamini mchango wake wa hali na mali katika kufanikisha maadhimisho ya Siku ya Kiswahili (MASIKI) huko Dodoma.
View On WordPress
Nachukia matumizi ya maneno ya Kiingereza, au ya lugha nyingine yoyote ile ya kigeni kwa mantiki hiyo, yenye tafsiri yake kwa Kiswahili, au yale yanayoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili. Mathalani: kama neno la Kiingereza lina tafsiri yake kwa Kiswahili, au linaweza kutafsiriwa kirahisi katika lugha ya Kiswahili, kwa nini usiliandike neno hilo kwa Kiswahili? Kwa nini Mswahili aseme England wakati kuna tafsiri ya neno hilo kwa Kiswahili ambayo ni Uingereza? - Au kwa nini Mswahili aseme Corona wakati anaweza kulitafsiri neno hilo kirahisi kwa Kiswahili hata kwa makusudi tu? Matumizi ya lugha ya namna hiyo ni utumwa wa kilugha. Hata kama lugha yako ya taifa inaonekana ya kishamba, au baadhi ya maneno hayatamkiki vizuri kama unavyotaka yatamkike, tambua kwamba hiyo ndiyo lugha uliyopewa na Mungu. Kama imeshindikana basi onesha kwa funga na fungua semi kuwa neno fulani ni la kigeni. Enock Maregesi, mwandishi wa Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu #kiswahili #lugha #languages #utamaduni #culture https://www.instagram.com/p/B-9iQlYHiAx/?igshid=rismb3diy3ha
LUGHA ZINAZOMFURAHISHA SHETANI KILA WAKATI UNAPOZISEMA.
LUGHA ZINAZOMFURAHISHA SHETANI KILA WAKATI UNAPOZISEMA.
( Hizi Ndio Lugha Zinazofunga Maisha yako Siku Hata Siku, kila unapoamka ndio mambo kama vile yanaharibika)
Zinahamasishwa na shetani mwenyewe ( Na Zinamuhuzunisha Roho wa Mungu ) LUGHA Hizi ni kama za kawaida sana na tumezizoea ni kama vile ni sehemu ya maisha yetu, kwahiyo unajisikia kawaida tu unapozisema.
Lakini Brother and Sister Hakuna kitu unakisema kwa Kinywa chako ambacho kitaenda Bure “…
View On WordPress