Jinsi ya kupata namba ya nida mtandaoni (2022)
Jinsi ya kupata namba ya nida mtandaoni (2022)
Kama umeshasajiliwa na mamlaka ya vitambulisho ya taifa (NIDA). Ila kwa namna moja au ingine haujapata kitambulisho chako cha utambulisho wa taifa usihofu. hapa tutakuchambulia Jinsi ya kupata namba ya nida mtandaoni (2022) hata kama hujapata kitambulisho bado. Jinsi ya kupata namba ya NIDA mtandaoni (2022) Njia hii inahitaji uwe una simu au kifaa kama kompyuta ambacho kimeunganishwa mtandao wa…
View On WordPress













