Najuta Kukupenda
Moyo umeudhulumu, hauna tena amani, Umeujaza kwa sumu, umeumebaki taabani, Uliyekuwa adhimu, umepoteza thamani, Machozi hayaniishi, karaha 'menishushia. ~Utunzi wa Ebeneza Jibrian #Mwanagenzi
Moyo umeudhulumu, hauna tena amani, Umeujaza kwa sumu, umeumebaki taabani, Uliyekuwa adhimu, umepoteza thamani, Machozi hayaniishi, karaha ‘menishushia.
Baada ya raha dhiki, umefanya niafiki, Hujanitendea haki, kupenda sitadiriki, Kweli hayatabiriki, ukipendwa hupendeki, Japo niliyavulia, kuoga sijadhubutu.
Najuta kukuamini, na kukupenda kwa dhati, NIlikutia moyoni, kwangu ulitaka hati, Ulipofuzu…
View On WordPress











