#DW: Urusi yapita mtihani wa kuandaa Kombe la Dunia | Michezo | DW
#DW: Urusi yapita mtihani wa kuandaa Kombe la Dunia | Michezo | DW
[ad_1]
Wakati Kombe la Mabara lilizishirikisha timu nane katika miji minne ya Urusi, Kombe la Dunia lenye timu 32 katika miji 11 linaweka changamoto kubwa ya usafiri. Rais wa FIFA Gianni Infantino ameipongeza Urusi kwa mikakati iliyoweka. “tuliskia kuhusu vurugu kabla ya dimba, kuhusu matukio ya uhuni, ubaguzi, lakini hatujaona chochote. Kila kitu kilikwenda sawa. Tuliskia kuhusu miundo mbinu,…
View On WordPress












