#DW: Waingereza wengi wataka kubakia EU
[ad_1]
Wakati waziri mkuu Thereza May akiingia katika duru ya pili ya mazungumzo kuhusu nchi yake kujiondowa kwenye Umoja wa Ulaya au kile kinachoitwa Brexit ,uchunguzi wa maoni ulioitishwa na gazeti la kila siku la nchini Uingereza la Independent unaonesha kwamba zaidi ya nusu ya Waingereza wanataka kubakia sehemu ya Umoja wa Ulaya. Uchunguzi uliondeshwa na shirika la utafiti la BMG kwaniaba ya…
View On WordPress













