#DW: Uhispania yachukua hatua kuipokonya Catalonia uhuru wa kujitawala
#DW: Uhispania yachukua hatua kuipokonya Catalonia uhuru wa kujitawala
[ad_1]
Rajoy amesema serikali yake haina budi bali kuchukua hatua hiyo ya kuipokonya Catalonia uhuru wa kujitawala baada ya kiongozi wake Carles Puigdemont kujiendesha kwa njia isiyo stahili na kujichukulia maamumzi ambayo ni kinyume na katiba ya nchi.
Msemaji wa Puigdemont amesema atatoa tamko kuhusiana na hatua hiyo ya serikali kuu ya kutaka kulipokonya jimbo la Catalonia uhuru wa kujitawala…
View On WordPress













