#VOA. | Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto
#VOA. | Hatua ya Rais wa Kenya Ruto kuondoa marufuku ya GMO yaleta hisia mseto
Hatua ya serikali ya Kenya kuondoa marufuku ya bidhaa za GMO inaendelea kuleta hisia mseto baadhi ya wananchi wakisema kuwa GMO haijaweza kuthibitishwa kuwa na manufaa kwa nchi na afya ya wananchi, wakitaka utafiti zaidi ufanyike ili kuhakikisha usalama wake. Source link: Habari hii imetoka kwenye wavuti wa VOA Swahili.
View On WordPress