MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -AUGUST [SIKU YA 8]
MFUNGO WA SIKU 10,MASAA 12 -AUGUST [SIKU YA 8]
KUSUDIA/ DHAMIRIA/ AMUA KUMPENDEZA MUNGU KATIKA MAISHA YAKO YOTE UWAPO DUNIANI.
Utangulizi
Katika Biblia kuna watu ambao Mungu anasema WALIUPENDEZA MOYO WAKE!
Tuwaone baadhi yao kwanza;
1. HABILI (ABEL) *”…Bwana akamtakabali Habili na Sadaka yake…”* (Mwanzo 4:6).
*”Kwa imani, HABILI alimtolea Mungu sadaka iliyo bora kuliko Kaini; Kwa hiyo alishuhudiwa ya kuwa ana haki; Mungu akazishuhudia sadaka…
View On WordPress












