ZIJUE FAIDA KUU 6 ZA MAFUTA YATOKANAYO NA MIMEA
ZIJUE FAIDA KUU 6 ZA MAFUTA YATOKANAYO NA MIMEA
Mafuta yatokanayo na mimea huwa katika hali ya kumiminika kwenye joto la kawaida, mara nyingi mafuta haya hayana lehemu, ni vizuri kutumia mafuta haya kwani ni bora kwa afya ya mlaji ukilinganisha na yale ya viwandani. Nimekuwekea orodha ya Mafuta yatokanayo na mimea pamoja na mbegu zitoazo mafuta kama ifuatavyo: Mafuta ya Soya Mafuta ya Ufuta Mafuta ya Alizeti Mafuta ya Karanga Mafuta ya Pamba…
View On WordPress











