KILIMO BORA CHA ALIZETI
KILIMO BORA CHA ALIZETI
ALIZETI-SUNFLOWER (Helianthus annus)
UTANGULIZI
Alizeti ni zao mojawapo kati ya mazao muhimu yanayotoa mbegu za mafuta. Hutoa mafuta kati ya asilimia 35– 45 na mashudu yake ni chakula cha mifugo. Alizeti huvumilia ukame na hulimwa kwa ajili ya biashara na matumizi ya nyumbani. Wakulima huvuna kiasi kidogo, kati ya gunia 3 – 5 kwa hekta. Hivyo kwa mavuno mengi na bora, mkulima anashauriwa…
View On WordPress













