#TRT: Kundi la Boko Haramu lateka wafanyakazi wa shirika la mafuta Nigeria Shirika la mafuta linaliomilikiwa na serikali nchini Nigeria limetangaza kuwa baadhi ya wafanyakazi wake wametekwa na kundi la kigaidi la Boko Haram na hawajulikani walipo mpaka sasa.














