#TRT: Wahamiaji haramu 128 wakamatwa Mashariki mwa Uturuki Wahamiaji haramu 128 wakamatwa Mashariki mwa Uturuki wakijiandaa safari kuingia barani Ulaya Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Polisi ni kwamba kila muhamiaji alitotwa kiwango cha pesa Euro 400 ili kufaanikisha safari yao.









