Salaam za #christmas kutoka kwa Mh #Lowassa @edwardlowassa

seen from United States
seen from Italy

seen from Netherlands
seen from Norway
seen from Germany
seen from United States
seen from Spain

seen from Sweden

seen from United States
seen from United States
seen from United Kingdom

seen from United States

seen from United States

seen from Sweden
seen from Finland
seen from China
seen from China
seen from United Kingdom

seen from Malaysia
seen from Finland
Salaam za #christmas kutoka kwa Mh #Lowassa @edwardlowassa
Kifo Cha Mtikila Chaibua Mengi Juu ya Lowassa na Kagame Kutaka Kumilikisha Nchi ya Wa-Tutsi
Tarehe 3 Octoba yamefanyika mauaji ya mwanaharakati wa kisiasa na sheria Mchungaji Christopher Mtikila. Hili limekuwa pigo kubwa kwa familia yake na ile familia kubwa ya wakufunzi wa sheria nchini Tanzania.
Marehemu Mtikila amekuwa akizifuatilia kwa ukaribu siasa za Rais Paul Kagame na amekuwa akichukia mbinu zake za kuingiza wanyarwanda nchi zote za Afrika Mashariki na kati ikiwemo Kenya, Uganda, South Sudan pia Kongo na Burundi anakoendesha mapigano dhidi ya serikali zao ili kuchukua nchi. Kwa Suala la Tanzania, Mtikila alishaandika makala nyingi juu ya wanyarwanda kuingizwa nchini Tanzania katika mikoa ya kanda ya Ziwa na katika vyama vya siasa nchini kote hasa Chadema. Mfano: http://www.thecitizen.co.tz/News/Chadema-district-chairman-deported/-/1840392/2567864/-/14yfi3uz/-/index.html
Baada ya kuandika sana kuhusu mbinu za Kagame, na baada ya Tanzania kutuma kilichoitwa “the best special forces unit in Africa” wanajeshi hawa wa Tanzania walifanya kazi kubwa ya kuvuruga wa-Tutsi wanaounda kikundi cha M23 cha waasi wa Kongo. Rais Kagame akakasirika na kuunda mpango wa kuiharibia amani Tanzania ikiwa kama kulipa kisasi.
Mbali na Kongo, Tanzania imeingilia mpango wa kabila hilo (Tutsi) kutawala Afrika Mashariki pale ilipoiingilia mgogoro wa Burundi na kumrudisha rais madarakani na kuvunja mipango ya Kagame na kabila lake. Ukiwa kama mpango wa muda mrefu, tukumbuke kwamba Tanzania ilisaidia sana wanyarwanda bila kuangalia tofauti ya makabila yao hivyo baina yetu wapo wanyarwanda watu wazima ambao wamesoma Tanzania na sasa ni watu wazima kati yetu. Kagame amepanga kuwatumia hawa watu kutuvuruga hasa kupitia CHADEMA, (soma: http://communistpartyofrwanda.tumblr.com/post/106598241633/the-infiltration-of-tanzanias-main-opposition ) lengo kuu likiwa kukataa matokeo ya uchaguzi ya mwaka 2015 na kuanzisha fujo na hoja hii imebebwa na JOHN MNYIKA na HALIMA MDEE. Tuwasikilize kwenye mikutano yao. CHADEMA IMEMEZESHWA AGENDA YA KUVUNJA AMANI: moja ya sababu ya kweli ya kumtoa Zitto Kabwe Chadema ni suala la kukubali mapatano ya Tanzania na Rwanda maana hicho sio anachokitafuta Kagame na vibaraka wake aliowaweka ndani ya chama.
Marehemu Mtikila amekuwa akimuudhi Kagame na kwa kuwachukua na kuwapa hifadhi wanyarwanda waliosimamia ukweli ikiwemo “Dr. Jean Bosco …” ambaye Lowassa kaandaa vijana wa kumchafua kuwa ndiye aliyetumwa kumuua Mtikila. Lowassa kama wote tunavyojua amekuwa na uhusiano na Kagame toka akiwa CCM na baada ya kushindwa alihamia Chadema akiendeleza uhusiano huo wa kilanguzi. Lengo kuu la Kagame ni kuhakikisha Tanzania inakuwa kwenye machafuko hata ya muda mfupi ili aweze kupata unafuu wa kuichukua Burundi na kisha kurudi Tanzania kuendeleza uasi.
By: Justice4Mtikila
'Chama Cha Mapinduzi Ni Wakali wa Kuiba Kura' Lowassa!Watanzania, Ni Kweli?
‘Chama Cha Mapinduzi Ni Wakali wa Kuiba Kura’ Lowassa!Watanzania, Ni Kweli?
Mgombea wa urais kupitia Chadema, Edward Lowassa ameituhumu CCM kuwa ni hodari wa kuiba kura hivyo akawataka wananchi wajitokeze kwa wingi kupiga kura ili hata sehemu ya kura hizo ikiibiwa, Ukawa ishinde kwa kishindo.
Lowassa ambaye ni waziri mkuu wa zamani aliuambia umati wa wafuasi wa Ukawa uliojitokeza jana kumpokea katika ofisi za makao makuu ya CUF yaliyopo Buguruni kuwa ili kufanikisha…
View On WordPress
Tanzania opposition leaders step down
Tanzania opposition leaders step down
Dar es Salaam – Two senior leaders of Tanzania’s new opposition coalition have resigned over the nomination of a former ruling party official as presidential candidate, exposing fractures in the fragile coalition ahead of an October poll.
In a move meant to cut the ruling party’s 54-year grip on power, Tanzania’s four major opposition parties on Tuesday named former prime minister Edward Lowassa…
View On WordPress