Tangazo La Msiba
Kwa niaba ya familia ya Biswalo tuna sikitika kuwatangazia kifo cha Mtanzania mwenzetu Paul Buyoya Biswalo, aliye fariki katika Mto wa Chattahoochee. Kama wengi wenu mlivyozipokea taarifa hizi hapo awali kutoka kwenye mitandao mbali mbali na vyombo vya…
View Post










