#TRT: Uturuki yatowa maelezo kuhusu Umoja wa Ulaya Kulingana na gazeti la Azerbaycan Trend , Ömer Çelik, Waziri wa Uturuki wa mambo ya Umoja wa Ulaya, alipokuwa kwenye ziara yake mji mkuu wa Uingereza, London, amesema kuwa makundi ya msimamo mkali yangependelea kuona usitishwaji wa makubaliano na uhusiano kati ya Umoja wa Ulaya na taifa la Uturuki ambalo lina mfumo wa kiislam, usiogamia dini yeyote, na wa kidemokrasia.
















