TANZANIA MPYA INAKUJAAA !!! Leo kuna mahafari ya wanafunzi wa vyuo vikuu yaliyotarajiwa kufanyika katika maeneo mbalimbali Tanzania. Mahafari yaliyoteka habari ni yale wanafunzi wa vyama vya siasa vya Chadema na Chama cha Mapinduzi katika mikoa mitatu ya Dar es salaam,Iringa na Dodoma. Wanachama wa Chadema Dar walioongozwa na mhe.Edward Lowassa katika mahafari kwa amani na mafanikio makubwa. Mhe.Fredrick Sumaye alitarajiwa kuwa mgeni rasmi akiambatana na viongozi wengine na wabunge wa Chadema; lakini mahafari hayo ya #Chaso au #Chadema wa mkoani #Dodoma pamoja kuanza sherehe zao kwa kuchangia walikutana kizuizi cha kutosherekea mahafari yao kwenye ukumbi wa hoteli ya #African #dream kwa kukutana #jeshi la polisi wakiwa na zana zao za kazi maalum ! Huko Iringa vijana wa #ccm vyuo na walikuwa na sherehe ya #mahafali leo ! #Tanzania #Mpya Inakujaaaa !!!












