Ahadi Si Deni: Mwanangu alihudhuria mahafali yangu ya pili mwaka 2004 na kuahidi kuwa atahakikisha na yeye anamaliza digrii yake ya kwanza na ya pili kwa “honors” na “merit” kwa ya pili. Mwaka jana 2019 alimaliza ya kwanza with “honors”. Dada yake mdogo alikuwepo na kuahidi kuwa tusubiri mahafali yake kwani atatuheshimisha. Nasubiri. Unapojiahidi au kuahidi kitu katika maisha kwa kutamka, midomo huumba, ukijipanga na kujituma kwa bidii utatimiza ahadi yako na utakuwa umefarijika na mwenye furaha. Jitume, usikate tamaa, ongeza bidii na utatimiza ahadi zako. Ahadi za mafanikio yako, ni mafanikio yako na waliokuzunguka. “A Promise is not a Debt” A promise is a promise, so they say. My son attended my postgraduate graduation in 2004 and promised me that he will graduate one day with honors and later with merit “like you dad”! He did it last year. Waiting for the “with merit” as promised. Her young sister attended his graduation and told me “see you guys on my graduation, you will be very proud of me”! As a parent, I can’t wait. When you promise yourself or someone else something, fulfill it. It feels good and satisfying. Work hard and put your effort to accomplish your promise. #lifesuccessstories #maishayangu #timizamalengoyako #ukiahiditimiza #ukiahidiunatekeleza #opentobetter #littlestoriesofmylife #mykidsmylife ##accomplishyourdreams #promiseandpurpose #doitforyou #kidspromises #successmindset #supportyourkids #happygraduations #graduation #graduationpictures #jasirimuongozanjia #motherscareandlove #daddysboy #daddydaughter #bongomovie #bongoupdatetrends #tanzania🇹🇿 #uk #londonmetropolitanuniversity #londonmetro #cambridge #angliaruskinuniversity https://www.instagram.com/p/B-HrzA5nzex/?igshid=ul4n22ss6mc7