maskini or trump suit?
Which one do you choose?
Maskini!
Trump suit!

seen from Romania
seen from United States
seen from China

seen from United States
seen from United States
seen from United Kingdom

seen from United States
seen from United Kingdom
seen from United States

seen from United States
seen from Poland
seen from Yemen

seen from United States

seen from Romania
seen from China
seen from United States
seen from France

seen from Ireland
seen from United Kingdom
seen from United States
maskini or trump suit?
Which one do you choose?
Maskini!
Trump suit!
Two piece
Kila kipato kina mashetani yake, mengine mazuri na mengine mabaya, lakini mengi ni mabaya. Wakati mwingine maskini ahitaji pesa, pesa anaweza kushindwa kuidhibiti, anahitaji paa na kuta nne kujisetiri yeye na familia yake. #kipato #earning #maskini #poor #pesa #money #nyumba #house https://www.instagram.com/p/BxXjjMthSFF/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=o391vq39i3s4
Maskini na tajiri wana mawazo tofauti. Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo. Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo. Maskini hudhani ubinafsi ni kitu kibaya. Tajiri hudhani ubinafsi ni kitu kizuri. Maskini ana mawazo ya kupata pesa bila kufanya kazi. Tajiri ana mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi. Maskini hudhani tajiri ana tabia ya kuringa. Tajiri hupenda kuzungukwa na watu sahihi wenye mawazo sawa na ya kwake. Maskini hutengeneza pesa kwa kufanya kazi asizozipenda. Tajiri hutengeneza pesa kwa kufanya kazi anazozipenda. Maskini hudhani kuwa tajiri lazima usome sana. Tajiri hudhani kuwa tajiri si lazima usome sana. Maskini hutamani mambo mazuri ya wakati uliyopita. Tajiri hutamani mambo mazuri ya wakati unaokuja. Maskini huamini ili uwe tajiri lazima ufanye kitu fulani. Tajiri huamini ili uwe tajiri lazima uwe kitu fulani. Maskini hupenda kuburudishwa kuliko kuelimishwa. Tajiri hupenda kuelimishwa kuliko kuburudishwa. Maskini ana woga. Tajiri hana woga. Maskini hufundisha watoto wake jinsi ya kupambana na maisha. Tajiri hufundisha watoto wake jinsi ya kuwa matajiri. Maskini hana nidhamu ya mapato na matumizi. Tajiri ana nidhamu ya mapato na matumizi. Maskini hufanya kazi kwa bidii kupata pesa. Tajiri hutumia pesa kupata pesa. Maskini ni mdogo kuliko matatizo yake. Tajiri ni mkubwa kuliko matatizo yake. Maskini huamini unahitaji pesa kupata pesa. Tajiri huamini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine. Maskini ana wivu wa chuki. Tajiri ana wivu wa maendeleo. Fikiri kama anavyofikiri tajiri. Ukifikiri tofauti na anavyofikiri tajiri, utakufa maskini. Maskini: umaskini ni chanzo cha matatizo, ubinafsi ni kitu kizuri, kuwa na mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi, penda kuzungukwa na watu wenye mawazo sawa na ya tajiri. Tengeneza pesa kwa kufanya kazi unazozipenda, kuwa tajiri si lazima usome sana, tamani mambo mazuri ya wakati unaokuja, kuwa tajiri lazima uwe kitu fulani. Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2357496194274195&id=100000415120038 #maskini #poorpeople #tajiri #richpeople #mafanikio #success https://www.instagram.com/p/BuLP17anhBu/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=lisc79wrpt5c
Maskini: umaskini ni chanzo cha matatizo, ubinafsi ni kitu kizuri, kuwa na mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi, penda kuzungukwa na watu wenye mawazo sawa na ya tajiri, tengeneza pesa kwa kufanya kazi unazozipenda, kuwa tajiri si lazima usome sana, tamani mambo mazuri ya wakati unaokuja, kuwa tajiri lazima uwe kitu fulani, penda zaidi kuelimishwa kuliko kuburudishwa, usiwe na woga, fundisha watoto wako jinsi ya kuwa matajiri, kuwa na nidhamu ya mapato na matumizi, tumia pesa ili upate pesa, kuwa juu ya matatizo yako, amini utapata pesa kwa kutumia pesa za wengine, kuwa na wivu wa maendeleo. Hivyo, chukia umaskini, jiangalie wewe kwanza na familia yako, fanya kazi kwa bidii na maarifa, usiwe mzururaji, tumia vipaji ulivyopewa na Mungu, hutafikia malengo yako kikamilifu bila msaada wa wataalamu, zifanyie kazi ndoto zako za baadaye, tangaza biashara yako, jinyime kwa mengi, usiogope kufanya jambo lolote lenye tija ulilolipigia hesabu, wape watoto wako kila kitu isipokuwa umaskini, mali bila daftari hupotea bila habari, fanya biashara, geuza matatizo yako kuwa changamoto, kopa pesa ili upate pesa, kuwa na upendo kwa maskini na kwa matajiri pia. Tajiri: bila maskini wewe ni maskini na bila tajiri maskini ni tajiri. Tajiri akiwa na maadili, maskini atakuwa tajiri. Hivyo, tuheshimiane! #maskini #poorpeople #tajiri #richpeople https://www.instagram.com/p/BsOHmyHHkpD/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1cf73ihd26mog
Fikiri Kama Anavyofikiri Tajiri
Fikiri Kama Anavyofikiri Tajiri
Maskini: umaskini ni chanzo cha matatizo, ubinafsi ni kitu kizuri, kuwa na mawazo ya kupata pesa kwa kufanya kazi, penda kuzungukwa na watu wenye mawazo sawa na ya tajiri, tengeneza pesa kwa kufanya kazi unazozipenda, kuwa tajiri si lazima usome sana, tamani mambo mazuri ya wakati unaokuja, kuwa tajiri lazima uwe kitu fulani, penda zaidi kuelimishwa kuliko kuburudishwa, usiwe na woga, fundisha…
View On WordPress
Wewe Msomi "Huyo unayetaka akuajiri wewe msomi, hata yeye hakuanza na hiyo kampuni kubwa, alianza na WAZO MOYONI AU KICHWANI.
Sage's Maskini finally gets visuals
Sage’s Maskini finally gets visuals
I’ve been in love with Sage Chemutai’s music for a very long time now, I constantly and consistently beg Kenyan artists for videos for their music and complete bodies of work(albums) so that I can fully and truly support them. I insists on albums because there’s on so many shows I can go to. Also I like appreciating artists as a whole you know…
Now to Sage, this is literally the first song of…
View On WordPress