Imani, Matamshi na Mafanikio yako.
Wengi wenu, kama nilivyo, upo hapo ulipo kwenye maisha yako kutokana na kile unachoamini. Na si tu vile unavyofikiri unachokiamini kwa juu juu, na pia imani zilizoopo ndani yako (shadow beliefs) zinakuweka nyuma na kuyaendea maisha ambayo unaamini unastahili. Ninachokijua ni; kama huangalii imani zako za ndani, kama huangalii vitu ambavyo vinajiendesha kwenye fikra yako, kuiambia nafsi yako…
View On WordPress













