Ched Evans: Sakata la mwanasoka mbakaji
Ched Evans: Sakata la mwanasoka mbakaji
England imegubikwa na mazungumzo juu ya mwanasoka Ched Evans (jina kamili ni Chedwyn Michael ‘Ched’ Evans aliyeanzia akademia ya Manchester City 2002 na sasa anahangaika bila klabu baada ya kutumikia kifungo gerezani akiisha kutiwa hatiani kwa kubaka.
Evans aliyeondoka Man City katika timu ya wakubwa 2007 akiingia Norwich kwa mkopo kisha akauzwa Sheffield United 2009, aliharibikiwa au aliharibu…
View On WordPress










