Ujerumani na hongo Kombe la Dunia
Ujerumani na hongo Kombe la Dunia
*Ni kashfa mpya juu ya uenyeji wa fainali za 2006 *Mlungula wa $250,000 uliwakosesha Afrika Kusini *Blatter alipigana kufurahisha wote na abaki rais Tuhuma za kashfa za rushwa ndani ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) zinazidi kutolewa, safari hii ikidaiwa kwamba Ujerumani walihonga ili kupata uenyeji wa fainali za Kombe la Dunia 2006. Habari hizi za kushitua zimekuja wakati maofisa…
View On WordPress










