"Jeshi la polisi linatakiwa kuelewa kwamba Watanzania sio wajinga sana. Wanafahamu na pia wanajua kuannalyse mambo. Niwatole mfano, Alipotekwa Mohamed Dewji, tulipata story nyingi tu za wazungu. Lakini alipopatikana Gymkhana tulijiuliza aliendaje huko. Kisha tunaoneshwa bunduki kuwa ziliachwa.Je kama aliyeacha bunduki angekutana na waliokuwa wakimtafuta polisi ? Baadaye aliyetekwa anaonekana anakunywa chai na Mambosasa" ,,,Hadi leo kimya !! imepita miezi sasa na HAKUNA MAJIBU- Rais John Magufuli:Mo Dewji #modewji #mohammeddewji #tanzania #magufuli #lazaromambosasa https://www.instagram.com/p/BumN4i2AZnb/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=de6gbleam5v4











