#DW: Polisi wamtaja mshambuliaji watatu | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Polisi wamtaja mshambuliaji watatu | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Polisi wa Uingereza wamemtambulisha mtu huyo kuwa ni Youssef Zaghba mwenye umri wa miaka 22 anayeaminiwa kuwa ni raia wa Italia mwenye asili ya Kimoroko. Polisi vilevile wameeleza kuwa Zaghba alikuwa anaishi Mashariki ya London na kwamba familia yake tayari imeshajulishwa. Lakini wakati huo huo polisi wamefahamisha kwamba mtu huyo sio mshukiwa mkuu katika uchunguzi wao.
Washambuliaji…
View On WordPress









