Mshikamano wetu kama binadamu umejikita katika nia yetu ya kusaidiana na kujaliana. Sisi wote ni mali ya Mungu, na sisi wote ni watunzaji wa mali hiyo. #mshikamano #solidarity #binadamu #humans https://www.instagram.com/p/BrFEmden5rf/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=qp7ua9wjh94c











