TURUDI KWENYE MISINGI:
Wakati YESU KRISTO alipokuwa duniani na nyakati za kanisa la kwanza, MIUJIZA haikutangazwa na aliyeitenda (Yesu/Wanafunzi wake), bali waliotendewa MUUJIZA na walioshuhudia MUUJIZA ndio waliitangaza kwa wengine. Leo hii WATENDA MIUJIZA ndio wanao-tangaza MIUJIZA kwa nguvu sana kuliko walio-tendewa au kushuhudia muujiza husika.
Wakati wa YESU KRISTO alipokuwa duniani na nyakati za kanisa la kwanza,…
View On WordPress















