#DW: Hisia za chuki dhidi ya wayahudi zalaaniwa Ujerumani
[ad_1]
Rais wa shirikisho Steinmeier ameonya vikali dhidi ya kuongezeka hisia za chuki dhidi ya wayahudi nchini Ujerumani.”Kwamba katika viwanja vya Ujerumani bendera za Israel zinachomwa moto, ni jambo lililonishitua na la fadhaa kwangu” amesema rais wa shirikisho alipomkaribisha balozi wa Israel, katika kuadhimisha miaka 70 tangu taifa la Israel lilipoundwa, sherehe zinazotarajiwa kuanza…
View On WordPress













