#VOA. | Waomba hifadhi wahamishwa kwenye kambi Uholanzi
#VOA. | Waomba hifadhi wahamishwa kwenye kambi Uholanzi
Maafisa wamewahamisha mamia ya watu wanaotafuta hifadhi kutoka kwenye kambi ya muda nje ya kituo cha kupokea wahamiaji chenye msongamano kaskazini mashariki mwa Uholanzi. Hatua hiyo imekuja baada ya ripoti moja mbaya kutaja eneo ambalo takriban watu 700 walikuwa wakilala vibaya wiki hii na ni hatari ya kiafya. Timu ya Ukaguzi wa Huduma za Afya na Vijana ilisema baada ya kutembelea kambi hiyo ya…
View On WordPress












