KUDHIBITI MSONGO WA MAWAZO ■ Msongo ni hisia ya kawaida. Katika kiwango kidogo, msongo unaweza kukusukuma kufanya mambo yako vyema. Athari za msongo ni tofauti kwa kila mtu. ■ Watu wengine msongo huwachochea kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao, lakini wengine hudhoofika kabisa na kushuka moyo. ■ Watu wengi wenye msongo hupata dalili za kimwili. Unaweza kuwa na maumivu ya tumbo, maumivu ya kichwa, na maumivu au kukaza kwa misuli. ■ Mwone daktari au mtu yeyote wa karibu yako kama unapata mawazo ya kujiua. ■ Kila mmoja anaitikia tofauti anapokuwa na msongo kwa sababu ya utofauti wa hulka na mfumo wa usaidizi waliyonayo. ■ Japo sio kila mara unaweza kudhibiti mambo mabaya maishani mwako, unaweza kuifunza jinsi ya kupambana nayo katika maisha ya kila siku na ikibidi uyaepuke □ JIFUNZE JINSI YA KUDHIBIYI MSONGO HAPA 👉 https://wikielimu.com/msongo/ #wikielimu #afya #msongo https://www.instagram.com/p/CM87nlWrRul/?igshid=1wworwiq73dqc














