UTAPIAMLO ▪︎Hali ya kupungua au kuzidi kwa baadhi ya virutubishi mwilini ambapo husababisha lishe duni au unene uliozidi. Utapiamlo unajumuisha kupungua kwa virutubishi mwilini/lishe duni pamoja na kuzidi kwa virutubishi mwilini. ▪︎Uwepo wa pamoja wa matatizo ya utapiamlo wa kuzidi kwa virutubishi mwilini na ule wa kupungua kwa virutubishi mwilini ni tatizo linalojitokeza katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania JIFUNZE ZAIDI HAPA https://wikielimu.com/utapiamlo-ukondefu-udumavu-kiribatumbo/ #WikiElimu @wikielimu @hwi_tanzania https://www.instagram.com/p/Cgi2tHeq20N/?igshid=NGJjMDIxMWI=















