TATIZO LA KULA SANA KUPITA KIASI ▪︎ Tatizo la kula sana kupita kiasi (binge eating) ni pale mtu anpokula kiasi kikubwa cha chakula katika kipindi kifupi ukilinganisha na ilivyo kawaida yake. Wakati anapokula kupita kiasi, mtu huyu hujihisi kuwa hawezi kujizuia. ▪︎Sababu ya kula sana kupita kiasi haifamiki. Hata hivyo, kula sana mara nyingi huanza wakati au baada tu ya kujinyima sana chakula/kujilazimisha kufanya diet. JIFUNZE ZAIDI HAPA https://wikielimu.com/tatizo-la-kula-sana-kupita-kiasi/ https://www.instagram.com/p/Cgus86iqkC7/?igshid=NGJjMDIxMWI=














