Was fällt dir ein über Gefühle zu reden? Alles was ich für dich tat hast du mit Füßen getreten

seen from Switzerland
seen from Canada

seen from Netherlands
seen from United Kingdom

seen from Switzerland
seen from United States
seen from Switzerland

seen from Germany
seen from Malaysia

seen from Italy
seen from China
seen from Japan
seen from Yemen

seen from Russia

seen from United States

seen from Malaysia
seen from United States

seen from Malaysia
seen from China
seen from United States
Was fällt dir ein über Gefühle zu reden? Alles was ich für dich tat hast du mit Füßen getreten
Das ist Hildegard. 30 Jahre später wird sie in einem KZ umgebracht
NAZIZ AKANUSHA KUWA KATIKA NA MAHUSIANO NA PRODUCER KHERI SAPPY WA TANZANIA, PICHA WALIZOPIGA ZAZUA UTATA.
NAZIZ AKANUSHA KUWA KATIKA NA MAHUSIANO NA PRODUCER KHERI SAPPY WA TANZANIA, PICHA WALIZOPIGA ZAZUA UTATA.
Queen wa rap kutoka Kenya, Naziz, ameruka kimanga habari zilizozagaa mitandaoni kuwa kwa sasa anatoka na producer mtanzania Kheri Sappy ikiwa ni kipindi kifupi kupita tangu aachane na aliyekuwa mume wake raia wa Tanzania, sambamba na kuzagaa kwa picha za kimahaba alizopiga na mtengeneza beat huyo zilizovuja katika mtandao wa Instagram.
“Nina marafiki wengi zaidi ambao ni wa kiume,tunapiga picha…
View On WordPress
NAZIZ AWAPA SHAVU MASHABIKI WAKE KUSHIRIKI KATIKA VIDEO YAKE MPYA.
NAZIZ AWAPA SHAVU MASHABIKI WAKE KUSHIRIKI KATIKA VIDEO YAKE MPYA.
Baada ya kupigana chini na aliyekuwa baba watoto wake, Queen wa rap anayetokea Nairobi nchini Kenya, Naziz, amewapa fursa mashabiki wake ya kushiriki katika kichupa/Video yake mpya.
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Naziz aliandika kwamba atafanya video yake Jumamosi ya Machi 15 na kama ukitaka kutokea kwenye video hiyo fanya kuLIKE ukurasa wake kisha tuma jina na namba yako.
“NEW NAZIZI VIDEO…
View On WordPress