Mtoto Mzuri @divathebawse yupo tayari tayari kwenda Pamoja Carnival Ambayo itafanyika Tar 24 mwezi huu inakaribia kwa kasiii kabisaa....ladies and gentlemen kuna burudani za kutosha kabisa kila mtu atakuwepo kukupa burudani ya hatariiii katika Tamasha hili kubwa la #PAMOJACARNIVAL chakufanya save the date mdau....jichange change. ..mzigo utakuwa pale viwanja vya Leaders, Kinondoni... Usisahau ukiwa na app za @fasta.fasta na @pamojaapp kiingilio ni 5000 tu.. ingia kwenye bio zao na download leo. Cc @pamojacarnival















