Rais akikutumbua anatumbua na nyota. Jiandae kisaikolojia. #rais #president #nyota #star #saikolojia #psychology https://www.instagram.com/p/BxiIdAsnnRO/?igshid=1mmkhxt1nyspd

seen from United Kingdom
seen from Mexico
seen from United States

seen from Türkiye

seen from Canada
seen from China
seen from Taiwan

seen from Mexico
seen from Spain

seen from Mexico
seen from Mexico

seen from Russia

seen from Malaysia

seen from Netherlands
seen from Mexico

seen from Canada
seen from Italy

seen from Netherlands

seen from Mexico
seen from China
Rais akikutumbua anatumbua na nyota. Jiandae kisaikolojia. #rais #president #nyota #star #saikolojia #psychology https://www.instagram.com/p/BxiIdAsnnRO/?igshid=1mmkhxt1nyspd
Jinsi ya kujiunga na Group letu la WhatsApp (Saikolojia & Mahusiano)
Jinsi ya kujiunga na Group letu la WhatsApp (Saikolojia & Mahusiano)
Je, Waajua kuwa kwa kuchagua kujifunza kupitia http://www.saikolojia.com Unapata nafasi ya kuisaidia jamii inayokuzunguka na kuboreshe maisha zaidi?
Tunajitahidi kwa kadri tuwezavyo kumsaidia kila mtu aboreshe maisha yake kupitia elimu inayotolewa na watu wenye upendo wa dhati, watu ambao pamoja na pilikapilika za maisha wameamua kutenga kiasi fulani cha muda wao kufanya utafiti na kuandaa elimu…
View On WordPress
Jinsi ya kujiunga na Group letu la WhatsApp (Saikolojia & Mahusiano)
Jinsi ya kujiunga na Group letu la WhatsApp (Saikolojia & Mahusiano)
Je, Waajua kuwa kwa kuchagua kujifunza kupitia http://www.saikolojia.com Unapata nafasi ya kuisaidia jamii inayokuzunguka na kuboreshe maisha zaidi? Tunajitahidi kwa kadri tuwezavyo kumsaidia kila mtu aboreshe maisha yake kupitia elimu inayotolewa na watu wenye upendo wa dhati, watu ambao pamoja na pilikapilika za maisha wameamua kutenga kiasi fulani cha muda wao kufanya utafiti na kuandaa elimu…
View On WordPress
Tambua tabia hizi na uhusiano wake na Saikolojia
Tambua tabia hizi na uhusiano wake na Saikolojia
1:Mtu ambaye ametendwa au ameumizwa kisaikolojia huwa na hulka ya kukasirika pasipo sababu ya msingi.
2:Ukitaka kujua kama mtu unayezungumza nae anapenda kusikia unayoyazungumza kunja mikono yako,kama anapenda na anafurahia mazungumzo nae atakunja mikono.
3:Kama mtu anachekacheka tu bila sababu maalumu au anacheka sana, basi mtu huyo ana huzuni kuu moyoni mwake, na kama mtu analala Kwa mda mrefu…
View On WordPress
Tambua tabia hizi na uhusiano wake na Saikolojia
Tambua tabia hizi na uhusiano wake na Saikolojia
1:Mtu ambaye ametendwa au ameumizwa kisaikolojia huwa na hulka ya kukasirika pasipo sababu ya msingi. 2:Ukitaka kujua kama mtu unayezungumza nae anapenda kusikia unayoyazungumza kunja mikono yako,kama anapenda na anafurahia mazungumzo nae atakunja mikono. 3:Kama mtu anachekacheka tu bila sababu maalumu au anacheka sana, basi mtu huyo ana huzuni kuu moyoni mwake, na kama mtu analala Kwa mda mrefu…
View On WordPress
Umuhimu wa kujifunza saikolojia
Umuhimu wa kujifunza saikolojia
HUWEZI hata kidogo kutenganisha maisha ya mwanadamu na elimu ya saikolojia, elimu ambayo katika ulimwengu wa sasa wengi wanaisikia lakini ni wachache wanaotambua umuhimu wake, achilia mbali maana ya neno lenyewe. Injinia wa kwanza aliyeipa nguvu elimu hii ni mwanasaikolojia wa Kijerumani, Wilhelm Wundt ambaye alifungua maabara iliyokuwa ikifanya utafiti na kutibu watu kisaikolojia, zoezi ambalo…
View On WordPress
Jinsi ya Kuondokana na Mawazo yanayo Umiza au Kuhuzunisha
Jinsi ya Kuondokana na Mawazo yanayo Umiza au Kuhuzunisha
Wapo watu kati yetu wanaweza kufuga mawazo ya kuachwa na wapenzi wao kwa miaka mitano mfululizo, huku wengine wakitumia miezi mingi kuondokana na huzuni iliyotokana na kutukanwa na wazazi, kufokewa na bosi, kupata hasara katika biashara, kufeli mitihani na kadhalika.
Hii ina maana kuwa ni wachache kati yetu tunaofahamu namna ya kupambana na mawazo yanayohuzunisha na kuyashinda. Kwa kuzingatia umu…
View On WordPress
Saikolojia ni Nini na Nafasi Yake Katika Maisha Yako?
Saikolojia ni Nini na Nafasi Yake Katika Maisha Yako?
SAIKOLOJIA, neno lililotoholewa kutoka neno la kiingereza psychology, si elimu inayoeleweka sana katika jamii yetu. Ingawa ni kweli neno hilo, saikolojia, linafahamika kwa wengi, bado yapo mengi yasiyofahamika vyema kuhusu saikolojia. Tunaposikia saikolojia, au mtu anaposema yeye ni mwanasaikolojia, mawazo yetu yanahamia kwenye kitu kinachofanana na uaguzi. Kwamba mwanasaikolojia ni mtu mwenye…
View On WordPress