Singida United: Mapumziko ya Corona yametufanya tushindwe kufanya vizuri
Singida United: Mapumziko ya Corona yametufanya tushindwe kufanya vizuri
Timu ya Singida United bado imeendelea kuwa wenye hali tete baada ya kushindwa kuibuka kidedea katika mchezo uliopigwa dhidi ya JKT Tanzania hapo Juni 20.
JKT Tanzania iliwafunga mabao 2-0 Singida United, mabao ambayo yalifungwa na Musa Said dakika ya 11 na Hafidh Mussa dakika ya 61.
Ofisa Habari wa Singida united Calse Katemana amesema kuwa “mapumziko ya corona yaliwafanya washindwe…
View On WordPress








