Kwa hadhi, hakuna Uwanja utazidi Uwanja wa Taifa na huu wa Uhuru. Tuna hakika na hilo. Kwa ulinzi, tumejiridhisha, mamlaka zimetuthibitishia. Watu, magari, pikipiki, baiskeli na mali zote zitakuwa salama Disemba 8. Jiandae kwa sherehe ya Kitaifa. @tigo_tanzania @jambogroup @mixmomentstz #Str8Muzik @precisionairtz @tacaidsinfo @uhuruhospital #BabaKasema #LevelsBaby #SaiziYako https://www.instagram.com/p/B44vUriBWBB/?igshid=md79z0dpny8r













