🚨TALANTA MAGAZINE 🚨 Ni wazi kwamba kwenye hii Dunia Mwenyezi Mungu kamuumba kila mmoja na KARAMA ama TALANTA yake, Ili kupata nafasi ya kila mtu kuonyesha Talanta yake , na kuona namna ambavyo inaweza kutumika na kusaidia wengine katika jamii zetu, tunaitaji platforms na nafasi kuweza kuzionyesha. Hii ndio maana, tupo sisi Jitambueforums na platforms zingine. Lakini Sasa , tunaileta kwenu platform nyingine, ya @talantamagazine (#talantamagazine) kutoka kwa mdau wetu, kijana mwenzetu, dada yetu @ms._gregory . TUNAKUOMBENI TEMBELEA KURASA YA @talantamagazine kuna link, na #LEO linaToleo la Tatu. Tafadhali nenda ukasome kuna interviews nzuri na inspiring stories. #supportedby #jitambueforumstv #SUBSCRIBE (at Dar es Salaam, Tanzania) https://www.instagram.com/p/CUMn2BDlUAH/?utm_medium=tumblr














