HAJI MANARA : TFF NA BODI YA LIGI WANAANDAA MAZINGIRA KUWASAIDIA YANGA KUPATA UBINGWA
HAJI MANARA : TFF NA BODI YA LIGI WANAANDAA MAZINGIRA KUWASAIDIA YANGA KUPATA UBINGWA
Uongozi wa klabu ya soka ya Simba umesema hakuna kificho juu ya mipango ya kutaka timu flani iwe bingwa wa ligi kuu msimu huu hasa kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya ratiba ya ligi hiyo. Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu hiyo ‘Haji Manara’ amesema wanashangazwa kuona mchezo wa Yanga dhidi ya Mtibwa Sugar uliokuwa uchezwe hii leo ukisogezwa hadi April 16 mwaka huu. Wakati…
View On WordPress









