#teammafisi #fuckyagames #eastafrikawilds
seen from Germany
seen from Hong Kong SAR China
seen from Hong Kong SAR China

seen from United States

seen from Malaysia
seen from Jordan
seen from Slovakia

seen from Portugal
seen from United States

seen from Germany

seen from Malaysia
seen from Malaysia
seen from South Korea
seen from T1

seen from Malaysia
seen from China
seen from T1
seen from United States
seen from United Kingdom

seen from Germany
#teammafisi #fuckyagames #eastafrikawilds
#teammafisi 😞😞😉
#am #done! Ooouuuuuch! 😂😂😂😂😂😂 #teammafisi Manzeeee! Hata bolingo! 😍😍😍 https://www.instagram.com/p/BsatE3xAfIR/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=bnn6a3d98e0a
As we walk into the weekend I break the monotony of the ellie pics remembering #teamscavengers #teammafisi #teamjackals #teamvultures as from #umanisprings the ladies will be on their light aircraft to #maasaimara where they will spend 3nights experiencing such sightings courtesy of #absolutevantage Have a pleasant weekend. More elephant photos tomorrow...... https://www.instagram.com/p/BnJ5r3MD8d2b_YeH98-0Oqj4IRae1eAqasdSHw0/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=u6tdyo43i3hc
Nimekuwepo kwenye mitandao ya kijamii kitambo sasa, kiasi kwamba naweza kushauri kuhusu mambo mawili-matatu kuhusu kanuni+mbinu za mitandao ya kijamii. Lakini licha ya kuwepo katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu, moja ya eneo ninalojishughulisha nalo katika usadi ni mitandao ya kijamii: kuuza bidhaa, kukuza biashara, mikakati ya mawasiliano na wateja, nk. Pia nimekuwa nikijitahidi kadri niwezavyo kujielimisha vya kutosha kuhusu mitandao ya kijamii sambamba na kuitumia elimu hiyo kuwaelimisha watumiaji wengine wa mitandaoni hiyo ya kijamii. Watu wengi wapo mtandaoni bila kufahamu faida kibao za mitandao ya kijamii. Lakini hilo sio tatizo ukilinganisha na idadi kubwa kabisa ya Watanzania waliopo kwenye mitandao ya kijamii lakini bila uelewa wowote wa hatari mbalimbali zilizopo kwenye mitandao hiyo ya kijamii au mtandaoni kwa ujumla. Utakuta mara nyingi tu watu wanaweka namba zao za simu hadharani wakitaka watumiwe picha au video kwa Whatsapp. Wasichojua wazembe hawa ni kanuni moja muhimu kuhusu mtandao: "the Internet never forgets." Kwamba mtandao huwa hausahau. Ukibandika kitu mtandaoni, kitaendelea kuwepo hapo kwa muda mrefu hata kama utaamua kukifuta. Kwa tunaoufahamu mtandao, kufuta kitu ulichokibandika mtandaoni hakumaanishi kuwa umekiondoa. Ukifanikiwa kuelewa japo kanuni na mbinu chache tu kuhusu mitandao ya kijamii, na kufahamu faida na hasara mbalimbali zilizopo kwenye mitandao hiyo, basi maisha yako mtandaoni yanaweza kuwa ya amani. Lakini "ukiingia kichwa kichwa" au usipojihangaisha kujua kanuni na mbinu mbalimbali, utalizwa. Kuna lundo la fursa kwenye mitandao ya kijamii na mtandaoni kwa ujumla - fursa za kujifunza, kujihabarisha, kujiburudisha, biashara, kutengeneza marafiki, nk. Ukihitaji uthibitisho, mie ni mnufaika mkubwa. Nimetengeneza marafiki wengi muhimu. Nimepata fursa mbalimbali za kazi na biashara. Lakini mitandao ya kijamii (na mtandao kwa ujumla) pia imesheheni kila aina ya balaa. Kuna matapeli wanaowinda wahanga wao 24/7, kuna #TeamMafisi, wazinzi, makahaba, mashoga/wasagaji, walawiti, wadukuzi, nk SWIPE KULIA kuona ushauri kuhusu maisha yako katika mitandao ya kijamii na mtandaoni kwa ujumla. Nakutakia siku/swaum njema (at Glasgow, United Kingdom)
#teamfisi #teammafisi all the time my jacket was inside out no fool was in their right mind to let me know 😂😂😂🤷🏿♂️🤷🏿♂️ but turned out to well 😂😂 I can’t complain (at Oakland, California)
#TeamMafisi (at Sunderland Woods Condominiums)
Mafisi movement #teammafisi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂