Ameandika “FAIZA” SABABU ZA YEYE KUPIMA H.I.V Repost from @faizaally_ Hii naomba msome kwa umakini ni Somo kwa wanaume na wanawake pia hasa sisi ambao hatuna waume au mahusiano yenye afya! Nilipo achana na baba Sasha nilikaa mwaka mzima bila kufanya sex, nikakutana baba yake li nikapenda kuwa nae kwa sababu haishi Tanzania nikafurahia haya mahusiano kwa sababu sikua nataka kuwa full commuted kwenye mahusiano kwa sababu moyo wangu hauko tayari kumpenda mtu mwingine , sasa ni mwaka wa 5 naweza kufanya mapenzi mara 2 au mara tatu hii inategemea baba yake Li anakuja mara ngapi Tanzania kwa mwaka ... lkn nimegundua kadri umri unavyo zidi kwenda Ndio hamu ya kufanya mapenzi inaongezeka lately natamani sana tofauti na miaka ya nyuma ... sasa nilipokua china kuna kijana nilipendezwa kutoka nae , kwa kua nilikua na hamu sana ya kufanya mapenzi na sikua nimefanya kwa kipindi cha almost miezi 7 nikawa out of control nikajikutaka nimefanya tu bila kujikinga , kwa hiyo Nime ishi kwa wasiwasi kwa kipindi cha miezi miwili nikaona jana nikapime na nimejikuta mzima nashukuru Mungu ... sasa Somo ni hili , kutokana na haya maumivu ya wapenzi tunao wapenda na kutokua tayari na mahusiano mapya inawezekana kutusababishia marazi , na kutokufikiri straight kwa ajili ya kutokufanya mapenzi , ninajua adhari za kuwa na yoyote kwa ajili ya kujikizi kimwili lkn wkt mwingine nahisi ni bora ujipatie mahitaji yako kwa ajili ya ku Linda afya yako mpaka hapo moyo wako utakapo amua kupenda tena ! sasa mm nimeamua nijitafutie mtu atakae nivutia kwa ajili moja tu 😂😂😂😂 ili nilinde afya yangu na niepuke tamaa za mripuko 😆😆😆 sema niombeni Mungu moyo wangu ufunguke kungine maana kama kupendwa napendwa jamani , kutongozwa pia na wengine wanatamani wapange maisha na mimi lkn moyo umegoma na nimekua muoga sana kumdanganya mtu maana sitataka maumivu nilio pata yampate yoyote maana mpaka leo sijui hata nimepambanaje kuona ni kawaida 😅 ... hebu funguka kuwa mkwe li niambie kama na wewe uliwahi kubugi kutokana na hisia za kimwili lkn bila kutamka matusi .... #temporalypost Hapo Ana Slay na Wimbo wa @goodluckgozbert #KamaSiWewe https://www.instagram.com/p/Bs78CjNB6X_/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1y1e28hkdg1a4











