in this time of darkness i would like to share something
your welcome
seen from China
seen from United States

seen from United States
seen from China

seen from Türkiye
seen from China
seen from Türkiye
seen from China
seen from Romania

seen from Türkiye
seen from Türkiye
seen from Georgia
seen from China
seen from China
seen from Malaysia
seen from Oman

seen from Georgia
seen from China

seen from United States

seen from Malaysia
in this time of darkness i would like to share something
your welcome
Kwa nini kibiblia na kisayansi inashauriwa mtoto atahiriwe akiwa na umri wa siku 8, na kwa nini kibiblia inashauriwa mtoto wa kiume atahiriwe? Kibiblia na kisayansi inashauriwa kuwa mtoto atahiriwe akiwa na umri wa siku 8, kwa sababu za kiafya zaidi kuliko kiroho. Wakati sahihi na salama zaidi wa kumtahiri mtoto ni siku ya 8, baada ya mtoto kuzaliwa kwa sababu; Vitamini K, yenye homoni muhimu iitwayo "prothrombin", inayosababisha damu kuganda, huwa imeshafikia kiwango cha juu kabisa cha zaidi ya asilimia 100 cha mtu mzima. Yaani; Vitamini K huwa imeshajijenga kikamilifu katika mwili wa mtoto, hivyo kufanya mtoto asivuje damu nyingi wakati wa kutairiwa. Chini ya muda wa siku 8, toka mtoto azaliwe, ukiamua kumfanyia mtoto tohara, hakikisha anapewa Vitamini K kwanza kabla ya kutahiriwa. Kwani, bila kufanya hivyo, bila kumpa kwanza Vitamini K, atavuja damu hadi mwisho wa uhai wake. Ukimfanyia mtoto tohara akiwa na umri wa zaidi ya siku 8, haitakuwa na madhara sana ikiwa kiwango cha Vitamini K mwilini kitaridhisha, kiasi cha kufanya mtahiriwa asivuje damu kupita kiasi. Katika kitabu cha Mwanzo 17:12, Mungu anasema, "Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako." Kwa nini Mungu anasema "siku nane", na si chini au zaidi hapo, katika kipindi ambacho sayansi ya kibiolojia haikuwapo? Mungu anasema hivyo kwa sababu anaijua anatomia ya mwanadamu kuliko mwanasayansi yeyote yule, kwa sababu yeye ni Mungu. Wana wa Israeli walikuwa wajinga dhidi ya sayansi ya leo na biolojia. Hawakujua chochote kuhusiana na vitamini au homoni, na hawakujua chochote kuhusiana na siku ya nane baada ya mtoto kuzaliwa, kuwa kiwango cha Vitamini K kingekuwa rafiki zaidi kwa upasuaji wa tohara. Lakini Mungu alijua. Tohara ina sababu nyingine kubwa ambayo ni ya kiroho zaidi; yaani, sababu ya agano. Katika kitabu cha Mwanzo 17:13, siku ambayo Mungu aliwaamuru wana wa Israeli kuwatahiri watoto wao, Mungu anasema: Soma zaidi hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=2312677575422724&id=100000415120038 #tohara #circumcision #wanawaisraeli #israelites #vitamink #prothrombin https://www.instagram.com/p/BtD83gmnSgi/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=179cxm98b8thk
BAADA YA KUTAHIRIWA VIBAYA, AFANYIWA OPERESHENI
BAADA YA KUTAHIRIWA VIBAYA, AFANYIWA OPERESHENI
Operesheni ya kupandikiza uumeilichikua masaa 8 MWANAUME mmoja toka Afrika ya Kusini ambaye alikatwa uume kwa makosa wakati wa kutahiriwa, aliweza kupata uume wa kupandikiza, kitaalam wanaita transplant kutoka kwa mtu mwingine. Habari nzuri ni kuwa mpenzi wa mwanaume huyo amesema kuwa ana mimba ya miezi minne, jambo ambalo limewafurahisha madaktari waliofanya operesheni hiyo na kusema…
View On WordPress
Daisuki >~<