MSIDANGANYANE 🚨 (CAF) imesema itaendelea kufanya interviews nyingi iwezekanavyo kufafanua mambo mbalimbali ambayo bado watu hawajayaelewa na ambayo hayajawekwa wazi kuhusu SUPER LEAGUE. ¶ Kwanza kabisa, timu (24) ambazo zitashiriki michuano hiyo ambayo itakata utepe August 2023 bado hazijatajwa na kuna vigezo vingi ambavyo vitaangaliwa ili klabu iruhusiwe kujiunga na mashindano hayo tofauti na watu wanaopotosha kwa kusema ni kigezo kimoja tu kitaangaliwa yaani RANKS ZA CAF.... BIG NO ❎. 1. Wataangalia klabu zenye mashabiki wengi (FAN BASE) 2. Baadhi ya klabu zitaalikwa. 3. Utayari wa kuwekeza. 4. Uimara wa kiuchumi 5. Ranks nakadhalika .... Kutakuwa na kiingilio, klabu zitakazoshiriki zitalipa pesa kisha zitapewa leseni,, Kiasi bado hakijatajwa / Hakijawekwa wazi. 📌 Muundo wa kupata timu zitakazoshiriki michuano hiyo utazingatia ukanda. Kanda tatu Africa zitatoa timu (24). Yaani kila ukanda utatoa timu nane (8), yaani ... >>>>>> 8 × 3 = (24) ************************************* UTUMWA 32 : 04 Michuano iliyokataliwa Ulaya inalazimishwa Ifanyike Afrika na walioikataa Ulaya. My opinion ; Hii ni michuano ya KIBAGUZI, ni michuano yenye lengo la kuwanufaisha wachache na kuwaacha wengi Hohehahe !!! Tanzania au ni Simba & Yanga pekee zinazoweza kukidhi matakwa ya michuano hiyo na kuchaguliwa,, klabu zingine hata ziwe Mabingwa wa ligi hawawezi kujiunga na SUPER LEAGUE >>>> UBAGUZI. #TOMCRUZ Comment LikePage Share #BABADUPDATES (at Arusha, Tanzania) https://www.instagram.com/p/ChHo2c1q2bM/?igshid=NGJjMDIxMWI=











