TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!
Natafuta mwalimu wa Hisabati wa O-level na/au A- level anayeishi Dar, Tanzania. Awe na sifa hizi: mwenye ujuzi wa miaka kadhaa, anayeipenda kazi yake na anayeweza kupatikana muda wowote ule kuanzia Januari katikati mwakani. Pia ajue kuzungumza Kiingereza…
View Post















