#DW: Steinmeier: Tuonyeshane upendo na huruma
[ad_1]
Mabibi na Mabwana,
Katika maeneo mengi ya nchi yetu hii leo kumetulia kuliko wakati wowote ule. Utulivu huo, ambao unashuhudiwa nchini kote katika kipindi cha X-Mas, wakati ambapo maduka hufungwa, usafiri wa umma kupungua, watoto, wazazi au mamabu na mabibi huchukuliwa kutoka vituo vya treni, huo ndiyo utulivu ambao tungependa kuwa nao katika siku zote za mwaka. Ni wakati wa kipekee…
View On WordPress
















