AINA KUU 5 HATARI ZA MAPEPO WABAYA WANAOTUPIWA WATU
AINA KUU 5 HATARI ZA MAPEPO WABAYA WANAOTUPIWA WATU
Unaweza ukawa unamshangaa na kumtupia lawama za bure ndugu, jamaa au rafiki kwa tabia zake chafu ambazo hazipendezi kwenye jamii bila kujua kwamba huenda ametupiwa pepo wabaya katika mwili wake ambao ndio wanamtumikisha kila kukicha.
(1). PEPO WA UMALAYA
Washirikina wanawatupia watu mapepo ya tabia ya umalaya na mtu kuanza kufanya umalaya usiokuwa na kikomo, unakuta mtu anaweza akalala na dada…
View On WordPress













