Ligon Mwenye Miaka 83 Aachiwa huru Baada ya Kukaa Gerezani Zaidi ya Miaka 60
Ligon mwenye umri wa miaka 83 aliachiwa kutoka katika gereza la Pennsylvania alhamisi iliyopita baada ya kufungwa maisha mwaka 1953, ilikuwa ni baada ya kupatikana na hatia za mauwaji pamoja na wizi, hatia ambazo binafsi anasema alionewa. Mwaka huo zilitokea vurugu huko Philadelphia zikihusisha walevi na kupelekea vifo vya watu wawili, Ligon akiwa na umri wa miaka 15 tuu na wenzake wengine…
View On WordPress

















