Uingereza: Baadhi ya hospitali kuishiwa vifaa vya kujilinda na COVID-19 'saa 24 zijazo'
Uingereza: Baadhi ya hospitali kuishiwa vifaa vya kujilinda na COVID-19 ‘saa 24 zijazo’
SIKU ya Ijumaa Afya ya Umma ya Uingereza imewaomba madaktari na wauguzi wanaofanya kazi mstari wa mbele kuzuia maambukizi ya virusi vya corona, kufanya kazi hiyo bila kuvaa magauni marefu ya kitabibu pia kutumia vifaa tiba vilivyotumika ili kutibu wagonjwa.
Baadhi ya hospitali ambazo zinatumika kutibu wagonjwa walioathiriwa na covid 19 nchini Uingereza zinatabiriwa kuishiwa vifaa vya kitabibu,…
View On WordPress

















